Kenya’s fresh, modern and state of the art Swahili radio station. Aims at creating engagement amongst the listeners and voicing out their thoughts. A new way of thinking and creating a new modern lifestyle. At Pili Pili FM its all “Mambo Moto Moto” Idhaa ya PiliPili FM ndio changa Kabisa hapa kenya, Ilio na mitindo ya Kisasa… Itakuwa inapeperusha matangazo yake kwa lugha ya Kiswahili. Ni kituo ambacho kinalenga kuleta Mwamko mpya kupitia huduma zake za kuwatumbuiza, kuwahusisha na kuwasikiliza wasikilizaji wake. Lengo kuu la PiliPili fm Ni kuboresha Maisha ya wasikilizaji kupitia vipindi vyake na huduma zake za kuwajulisha, kuwaelimisha na kuwatumbuiza wasikilizaji .

Additional Info

AddressNyali Rd, Mombasa, Kenya

Comments

Leave a Reply

Archives

Categories

Meta